ni mhimu sana tu, nakushauri uende shuleni kwako upewe nyingine. zile zinapatikana.
leaving inatumika kuhalalisha cheti chako. mfano cheti chako academic kinaonesha umesomea mzumbe, je kuna cheti cha kuthibitisha kuwa uliwahi kusomea mzumbe? ndiyo kazi kubwa ya leaving. wanafunzi wa private candidate hawahitaji leaving ila wa scholl candidate wanatakiwa kuwa nazo
Tunako elekea hata Certificate za ki academic zitakuwa hazina ishu kabisa, Mashiraka mengi ya Nje ya Nchi yanayo fanya kazi Tanzania huwa hata hawaombi academic certificate, nisha wahi kufanya interview kwenye mashirika kama matatu na yote nilibeba veti lakini walisema hawahitaji vyeti bali CV, ila ni muhimu kwa kumbukumbu