hivi lengo la swali kama hili ni nini?

Kimsingi si kweli kwamba wanataka kujua kama hujaolewa ama la ila lengo ni kujua status yako wapate pa kuanzia.ww .ww hujiulizi mbona hawakuulizi kam una kazi?
 
mzabzab na mito umri bdo basi tu wananiona km mkubwa vile make nina mwili mkubwa mkubwa. na si kwamba nimechelewa bdo kabisa tena expire date ni baada ya 5yrs ndo naeza sema nimechelewa ama nimechoka!

me too al b 30 in 5 years to kam..bt insha'allah i wud love to b weded during my 26.
 
Last edited by a moderator:

kwa hiyo upo above 30? If yes, i have to gv u my bro akuoe..please!
 

mamako mdogo? Tel ha nampenda and pls mwambie aendelee kukupa mawaidha, utaona umuhimu wake in the future.
 
teh teh nyumba kubwa, kumbe huwa inafika kipindi maji hayatelezi eeh?
 
Last edited by a moderator:
KUNA KAWIMBO KAZURI SN KA ENZI ZILE KANASEMA " msichana mrembo wa sura kitugani kinakufanya usiolewe" Kana maneno mengine mazuri sana......tatizo wasichana wa siku hizi wanaona kuolewa ni utumwa hivyo huona bora awe na maisha yake lkn awe na watoto
 
mpe moyo ,kuolewa kuna thamani na heshima yake hili wanalitambua wale ambao muda umewaacha na wanaililia nafasi japokuwa ndoa nyingine ni ndoano
 

Jibu sahihi litatolewa na hao wababa wa rika la baba yako hivyo ni vema ungetoa na umri wao ili wa umri huo ndani ya JF wakupe jawabu murua!!
 
Jibu sahihi litatolewa na hao wababa wa rika la baba yako hivyo ni vema ungetoa na umri wao ili wa umri huo ndani ya JF wakupe jawabu murua!!

hao wababa wapo kati ya 50 - 60!
 
Watu wengine hua wanazeeka vibaya instead ya kuwa na busara wao wanakua wambea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…