Hivi leo waTanzania tukiamua kutumia bidhaa zinazozalishwa ndani tu kwa miaka mitano, hatutakuwa nchi ya dunia ya kwanza?

Viwanda vya nguo unavyo? Kahawa na Chai utamaliza mwenyewe? Korosho tu zimekushinda kununua utafune, mbaazi, choroko, dengu, kunde utazimaliza? Je unaviwanda vya kutengeneza Pikipiki, baiskeli nk?
Nimesema kwa bidhaa zinazozalishwa nchini, mbona kichwa kizito hivyo?
 
Hata za humu nchini uwezo wa kula unao? Mwaka juzi na mwaka jana mahindi hayajauzwa mbona yamekaa stoo hakuna walaji, je hizo bidhaa zingine? Wewe ndo hujui lolote
Nimesema kwa bidhaa zinazozalishwa nchini, mbona kichwa kizito hivyo?
 
Hata za humu nchini uwezo wa kula unao? Mwaka juzi na mwaka jana mahindi hayajauzwa mbona yamekaa stoo hakuna walaji, je hizo bidhaa zingine? Wewe ndo hujui lolote
Sasa kama hazijauzwa tukiacha kuvinunua ndio vitaondoka huko store au ndio vitazidi kurundikana? Maana kama bidhaa zimerundikana maghalani solution si ni kuhakikisha tunavinunua ili vitoke huko ghalani, sasa hata sikuelewi unapinga nini..
 

Karibu vyote ulivyopata vipo vinavyozalishwa Tz
 
haiwezekani kutokaana na sababu chche zzifuataza
-purchasing power ndogo ya wanainch
-teknolojia duni ya kuzalisha hizo bidhaa za kuwatosha watu wote kwa kiwango stahiki.
-siasa chafu ya chama chakavu ambacho hamtaki kukitoa madarakani.
 
haiwezekani kutokaana na sababu chche zzifuataza
-purchasing power ndogo ya wanainch
-teknolojia duni ya kuzalisha hizo bidhaa za kuwatosha watu wote kwa kiwango stahiki.
-siasa chafu ya chama chakavu ambacho hamtaki kukitoa madarakani.
Purchasing power ndogo halafu tunanunua vya nje? Hiyo power ya kununua vya nje tunaitoa wapi na ya kushindwa kununua vya ndani tunaikosa wapi? Technolojia ikiwa duni kiasi bidhaa zikiwa hazitoshi basi nunua vya nje, na kama kiwango ni duni tuonyeshe uzalendo.
 
Shida kubwa kwenye kilimo hatufanyi vizuri. Tunalima kwa kukurupuka. Mwaka huu korosho ikiwa na bei watu wote wanataka kulima korosho, na mazao mengine hivyo hivyo. Ukienda Iringa kule nyanya nk. Ruvuma mahindi bei inayumbayumba coz no consistency.


Ushauri wangu kwa wizara ya kilimo ifanye utafiti mkoa gani au wilaya gani zao gani linakubali vizuri. Wananchi walazimishwe walime mazao hayo tu wakiweka distribution vizuri tutatengeneza soko la ndani kuwa very strong [emoji123] na hii itachochea zaidi ujenzi wa viwanda maeneo husika badala ya sasa kulima kiholela. Tunashindwa kujua zao gani linapatikana wapi kwa wingi.

Lakini yakiwa maped itasaidia hata usambazaji wa pembejeo za kilimo utakuwa rahisi.


Mfano mhindi ruvuma watoe unga tu kutoka ruvuma.

Mchele Mbeya watoe uko packed kuanzi nusu kilo
Ufuta Mtwara
Korosho Lindi na Mtwara
Alizeti Dodoma Singida, wazalishe mafuta ya kutosha
Nknknk
 
Sawa, wazo zuri, ila hoja ni kununua vya ndani.
 
Vinavyozalisha hizo bidhaa
VITATOKA WAPI? Watatubania huko
 
Mfano leo uende dukani ukute Tanga fresh na Maziwa mengine toka Afrika kusini, nunua ya Tanga
Utanunua Leo, kesho... Halafu mashine ya kitengeneza hiyo Tanga fresh ikiharibika utaenda kununua wapi spea? Hapo ndo utakapokabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…