Hivi likes mwisho ngapi jf?

Hivi likes mwisho ngapi jf?

fugees

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
2,868
Reaction score
883
Wakuu, nimekaa nimewaza na kuwazua sijawahi ikuta post hapa jf unalike zinazozidi 6 nyingi sana zina ishia 5. Tafadhari wajuvi mnijuze,
 
Poa mkuu hop nifanye udadavuvi mpya..
 
JF Aplication alert like zinaonekana -6, ila kwa kutumia browser i.e opera, Chrome n.k huwa zinaonyesha zile ulizozipata.
 
likes zinafika hata 100 na zaidi, ila ukitumia app zinaonekana tano tu lakini ukifungua URL hiyo hiyo katika browser/computer utaona zote.
NB:
Likes nyingi jf hutegemea na post/comments ya maana, siyo upuuzi upuuzi tu unalilia likes, nenda fb
 
Back
Top Bottom