Hivi lile group la kijeshi la Wagner limepotelea wapi?

Hivi lile group la kijeshi la Wagner limepotelea wapi?

Wamehamia Africa ,wapo active pale CAR,na nchi nyingi tu za Sahel,definitely Congo 🇨🇩,tunao hapa Africa
 
wallipojaribu kuasi Putin akaona hatari iliyo mbele yake,kawasambaza. wengine kawatupa Africa huku kwa wanamapinduzi wagaigai.
 
Itakuwa walimezwa na jeshi baada ya Putin kuona hatari yao wakiwa huru nje ya jeshi.
 
Back
Top Bottom