Hivi lile jiroboti lenye ufanisi na la gharama kubwa lililopelekwa bongeni kwa maonyesho/maigizo lilipelekwa wapi kuwatumikia watanzania? Au tunasubiri episode/event ingine wana tuendelee kujionea mauvumbuzi na matumizi ya kodi za kengez
Kama linafanya uzalishaji mali pahala tujulishwe prease! Na kama lilifwariki tujue lilizikwa wapi tukahiji na kuomboleza kwa machozi manene
Lile halikuwa roboti, ilikua ni ile midoli ya kutangazia nguo. Hivi kwa akili gani alizo nazo nape aweze kufikiria mambo ya robotics & Artificial Intelligence?? Inawezekana roboti akawa na akili kuliko ndugu yetu nepi