kivindo boy
New Member
- Feb 23, 2019
- 3
- 2
Navuta picha miaka ya nyuma kidogo jinsi mahusiano ya mtu mmoja mmoja bila kujuana dini wala kabila kwenye vyombo vya usafiri hasa hasa safari za mikoani yalikua hayana kutiliana shaka kamwe.
Cha kushangaza siku hizi mahusiano yamevurugika na kupoteza uaminifu kabisa mpaka tunafikia hatua ya kutangaziana kuwa USIPOKEE KITU CHOCHOTE CHA KULA WALA KUNYWA KUTOKA KWA MTU USIO MJUA.
Kwangu mimi naona tunapoelekea ni pabaya zaidi.