Nimechoka kufundisha na kuuza Kangala.
Natamani nitekwe. Mshahara ukitoka tar 23 niwe naenda kuukabidhi.
Niwe napikiwa ugali na Samaki. Jumapili pilau kuku.
Mauzo yote ya Kangala niwe nayakabidhi kila siku jioni.
Mtekaji awe ni ni jimama linalofanya kazi baa.