Hivi logic ya kuajiri mpaka wahasibu wa India, Kenya ni sheria inaruhusu au uhamiaji scams?

SilvaG

Member
Joined
Jul 23, 2011
Posts
9
Reaction score
0
Kuna makampuni yapo mwekezaji =foreigner, manager =foreigner, mhasibu= foreigner, bankers=foreigner, auditors=foreigner
Hata kama TRA watafanya audit yao kwa kawaida baada ya miaka 3 unategemea huo mlima wa data abaini wizi kweli kama si kupitisha kila kitu???
Kama serikali ingekua makini hasa eneo kama la uhasibu ambapo information zote za kampuni zitakuwa recorded ingeamua lazima awe mtanzania vinginevyo tunacheza tu.
 

ni kampuni ipi hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…