South JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,514 Reaction score 5,143 Dec 19, 2018 #41 topdenny251 said: Mimi ama?? Click to expand... ama
B Bill Lugano JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 1,189 Reaction score 6,450 Dec 21, 2018 #42 Ajibiwe swali aliloulizwa hayo mengine ni kiherehere cha wachangiaji.kataka kujua lotion ya kumng'arisha. Mnajifanya kitoa ushauri nasaha.
Ajibiwe swali aliloulizwa hayo mengine ni kiherehere cha wachangiaji.kataka kujua lotion ya kumng'arisha. Mnajifanya kitoa ushauri nasaha.
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,637 Reaction score 47,413 Dec 22, 2018 #43 Khantwe said: Kwa nini unataka uwe maji ya kunde? Mungu ana makusudi yake kukufanya hivyo ulivyo. Samahani kwa kutoka nje ya mada na kuingilia uhuru wako binafsi, nimesema tu in good faith Click to expand... Itakuwa kasikia kina John wanapenda maji ya kunde.
Khantwe said: Kwa nini unataka uwe maji ya kunde? Mungu ana makusudi yake kukufanya hivyo ulivyo. Samahani kwa kutoka nje ya mada na kuingilia uhuru wako binafsi, nimesema tu in good faith Click to expand... Itakuwa kasikia kina John wanapenda maji ya kunde.