To the extreme!Nonsense
Acha ngonjera zako hapa wewe. Si mlijifanya kumjaza Upepo utafikiri puto. Halafu mwisho mmempa kisogo kama ilivyo kawaida yenu ma CHADEMA.Pilipili iliyo shamba yakuwashia nini.. Umbea hauna posho!😂
chadema walimuhadaa sana Mpina, na kumuita shujaa,Acha ngonjera zako hapa wewe. Si mlijifanya kumjaza Upepo utafikiri puto. Halafu mwisho mmempa kisogo kama ilivyo kawaida yenu ma CHADEMA.
.
Nimekuwa nikisema humu mara nyingi, hakuna mwanaccm yoyote anaweza kufanya siasa nje ya siasa za mbeleko. Wote wameshalemaa na upendeleo usio rasmi, hivyo wakiwa nje ndio wanakutana na ambacho hawakutani nacho wakiwa ndani ya ccm. Hiyo Mpina ni mfano halisi wa ukweli huo.kwani alifanywa nini na nani gentleman?
Gentleman,Nimekuwa nikisema humu mara nyingi, hakuna mwanaccm yoyote anaweza kufanya siasa nje ya siasa za mbeleko. Wote wameshalemaa na upendeleo usio rasmi, hivyo wakiwa nje ndio wanakutana na ambacho hawakutani nacho wakiwa ndani ya ccm. Hiyo Mpina ni mfano halisi wa ukweli huo.
Machafuko pekee ndio yataleta usawa wa kisiasa hapa nchini, na huo ndio utakuwa mwisho rasmi wa ccm, kwani haiwezi ushindani wa kweli.
Left!Gentleman,
kwamba Mpina ni pilipili ya shamba, right?
Lucas unahitaji tiba ya haraka ujueAcha ngonjera zako hapa wewe. Si mlijifanya kumjaza Upepo utafikiri puto. Halafu mwisho mmempa kisogo kama ilivyo kawaida yenu ma CHADEMA.
.
Nasisitiza bwana 🌈, hakuna mwanaccm anaweza kufanya siasa nje ya mbeleko ya vyombo vya dola, Mpina ni mfano halisi. Cdm wanaweza kufanya siasa za uhakika maana wananchi wamewaelewa.Gentleman,
kwani chadema bila kua vibaraka wanaweza kufanya nini nje ya ufadhili wa mabawenyenye ya magharibi?
Tuwe wakweli kidogo, zaidi ya uropokaji na kususa kuna wanachoweza kufanya kweli?
labada uchafue boxer yako gentleman ili iwe sawa na uchafu wako
ni vizuri kandika uzi mahususi kuhusu jambo amabalo ungependa wadau wa JF kueleza na kuongeza uelewa na ufahamu wako na wadau wengine, kuliko kujaribu kuhamisha mjadala gentlemanKwani Ummy Mwalimu yuko wapi na anajishughulisha na nini?
Huu ujinga wako unahitaji divine intervention, sio kwa hizi akili zetu!!