Umeleta mada kwa njia ya swali, nimekupa related question. Unashindwaje kujibu?ni vizuri kandika uzi mahususi kuhusu jambo amabalo ungependa wadau wa JF kueleza na kuongeza uelewa na ufahamu wako na wadau wengine, kuliko kujaribu kuhamisha mjadala gentleman
kweli umelemaa kifikra gentleman,Nasisitiza bwana 🌈, hakuna mwanaccm anaweza kufanya siasa nje ya mbeleko ya vyombo vya dola, Mpina ni mfano halisi. Cdm wanaweza kufanya siasa za uhakika maana wananchi wamewaelewa.
Kuhusu mzungu, kwa taarifa yako mzungu hakwepeki, zunguka nchi nzima uone miradi ya misaada ya wazungu iko mingapi nchi hii. Na sasa fuatilia huyo waziri wa mchongo wa mambo ya nje anazunguka wapi kujiliza, na utaje kaenda nchi ngapi za waafrika kujieleza. Mzungu hakwepeki kwa propaganda mfu.
Machafuko rejea warmup ya mo 29, hadi sasa mtuhumiwa kajiundia tume kutaka kuficha ukweli.
Gentleman,Umeleta mada kwa njia ya swali, nimekupa related question. Unashindwaje kujibu?
Narudia, unahitaji divine intervention!Gentleman,
hakuna uhusiano kabisa wa kisiasa kati ya uliemtaja na Mpina,
ni wanasiasa wenye hulka na tabia tofauti mno, that's why nimeibua hoja very specific kumuhusu mtu specific
majibu ya mfukoni ni kitu mbaya sana aise
serikali sikivu ya CCM inafanya kazi nzuri zaidi kijamii, kiuchumi na kisiasa,Ndio sababu nchi imejaa machawa, bungeni tuna viongozi wajinga wajinga wengi, sababu watu wanaogopa kusema ukweli kisa kupoteza dira kwenye siasa.
Taifa limekuwa mi kusifu na kumuabudu raisi tu, tunazidi ingia kwenye giza totoro