Hivi Lulu yuko katika hali gani kwa sasa?

Aiseee. Interesting. Cheni sio kwa kuguswa kule! Hawala hana talaka. Hawala hatongozwi. Inawezekana Dr Cheni anaendeleza kama kawa!
lakini huoni hayo ndio mapenzi ya kweli..wengine waliomchezea huyo binti hata mahakamani hawaonekani kumsapoti bebi wao.
 
MKUU SASA KAMA MAHAKAMANI ALIKUWA BUSY KUCHAT, NADHANI YUKO BUSY KUTANUA MAPAJA KAMA KAWAIDA YAKE.
Kuna wakati inabidi liache liende ... mwache apate tamu yake huwez jua labda ndiyo vya mwisho mwisho akitoka atakuwa kazeeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…