Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Ngoja Waje WenyeweHivi maana ya neno "DANGA" lina maana gani nasikia Asley anatumia hilo neno
Kwa ninavyoelewa mimi kutokana na lafudhi yetu ya kitaa danga ni kitendo (kumchuna mtu)Danga maranyingi hutumika kwa jinsia ya kike liki maanisha ni mwanamke ambaye hutafuta pesa kupitia wanaume kwa kuuza papuchi