Hivi maana ya neno substandard ni nini?

Hivi maana ya neno substandard ni nini?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Kwa heshima na taadhima naombeni kujuzwa ikiwapendeza mnipe na mfano, a recent example
 
Nafikiri ni kitu ambacho kiko chini ya kiwango eg madawa kama yako chini ya kiwango
Au mfano mwingine ni nyumba sio lazima iwe ya zamani ila kama ni hatari kwa kuishi itaitwa substandard housing
Hebu na wengine waongezee

Sent from my SM using Tapatalk
 
ni kitu ambacho ni duni kutokana na kiwango fulani yani ni ubora chini ya matarajio ya kawaida
 
ubora hafifu au kisicho Na ubora.mfano ni lile daraja lililokatika mkoani Simiyu kabla halijaanza kutumika.
 
Back
Top Bottom