TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Kwahiyo serikali imepuuza?Tija inatakiwa kutolewa na Serikali siyo Chadema.
Shida yangu kwa nini serikali hairekebishi?Hali inazidi kuwa mbaya au hawajatishikaYaani serikali iliyopo madarakani ndiyo inatakiwa irekebishe yale yanayolalamikiwa na CHADEMA na wengineo na siyo CHADEMA ilete tija ilhali haina bunge wala serikali kwa ujumla wake.
Point👍Maandamano/matembezi ya jisani ya CHADEMA yana tija. Yatawasaidia kupunguza vitambi walivyovipata kwa kufakamia ruzuku ya 2.7b kimyakimya.
Itisha na wewe maandamanoWanajamvi kichwa cha habari chajieleza
Chadema walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi
Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Hahaha mkuu napata shida juu ya uwelewa wako yaani kuhusisha Chadema na maisha magumu yanayosababishwa na serikali.Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza
Chadema walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi
Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Umeyataja yote yanayojera wananchi.Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza
Chadema walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi
Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Katika swali la kijinga linalothibitisha kuwa ujinga bado ni adui kinara wa Taifa ni hili!Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza
CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi
Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
1. Unaandika as if what is going on in Tanzania is none of your business. One would expect you to suggest the way forward if demonstrations do not attain the intended outcome.Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza
CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi
Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Wananchi wengi ni wapuuzi lazima tu wapuuzwe!Kwahiyo serikali imepuuza?
Ruzuku inashughulikiwa.Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza
CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi
Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Wanatumia rizikiMaandamano/matembezi ya hisani ya CHADEMA yana tija. Yatawasaidia kupunguza vitambi walivyovipata kwa kufakamia ruzuku ya 2.7b kimyakimya.
Kwa hiyo chadema wana majibu ya matatizo yote hayo?Katika swali la kijinga linalothibitisha kuwa ujinga bado ni adui kinara wa Taifa ni hili!
Mwl. JK Nyerere aliona mbali sana!
Yaani maandamano yametangazwa badala tushiriki wote tusio na vyama na wenye vyama kufikisha ujumbe nyie bado mnakalia kuilalamikia Chadema na kumpongeza SSH kwa kuupiga mwingi!
Ni kweli nchi inapita wakati mgumu:
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
6. Hadaa, ahadi hewa na dharau za viongozi
7. Matumizi makubwa na ya anasa ya serikali
8. Ajira hakuna..
9.
Nilitegemea akili pevu ingetujumuisha sote kwenye maandamano ili serikali isituzoee zoee!
Ila wajinga bado wanawasha TV kufuatilia komedi show za mawaziri na watendaji wa serikali huku wakiwalaumu waandamanaji!
#Mjenga nchi ni mwananchi!
#Na adui wa nchi pia ni mwananchi