Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 594
- 691
Habari zenu wana jukwaa.kama inavyofahamika JF DOCTOR ni moja ya majukwaa ambayo watu wengi wenye matatizo ya kiafya uwasilisha matatizo yao wakitaraji kupata msaada wa ushauri pamoja na maelekezo lakini kwa hivi karibuni hali imekuwa tofauti, watu wamekuwa wakipost matatizo yao bila kupata msaada wowote kutoka kwa wataalamu hao, msaada umekuwa ukitoka kwa wachangiaji wa kawaida tu,tunaomba kufahamishwa ni kweli hao wataalamu wapo kwenye hili jukwaa??