Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 594
- 691
Sio mim tu ninaehitaji huo msaada kuna post za watu wengi tu zinahitaji msaada kwa ushaur na maelekezo, ziangalieni kama nyie ndio wataalamu basi muwasaidieAya uliza swali lako hapa
Tatizo mnaletaga utani kwenye mambo ya msingiSio mim tu ninaehitaji huo msaada kuna post za watu wengi tu zinahitaji msaada kwa ushaur na maelekezo, ziangalieni kama nyie ndio wataalamu basi muwasaidie
Sio utani kiongozi ni kweli, anaweza kupost mtu hiyo post inabakia kutazamwa tu bila mchango wowote, wale watakaochangia basi ni kejel na dhihaka tupuTatizo mnaletaga utani kwenye mambo ya msingi
Sasa hao wanaokejeli sometime ndio wanafanya walio serious wasichangieSio utani kiongozi ni kweli, anaweza kupost mtu hiyo post inabakia kutazamwa tu bila mchango wowote, wale watakaochangia basi ni kejel na dhihaka tupu
Habari zenu wana jukwaa.kama inavyofahamika JF DOCTOR ni moja ya majukwaa ambayo watu wengi wenye matatizo ya kiafya uwasilisha matatizo yao wakitaraji kupata msaada wa ushauri pamoja na maelekezo lakini kwa hivi karibuni hali imekuwa tofauti, watu wamekuwa wakipost matatizo yao bila kupata msaada wowote kutoka kwa wataalamu hao, msaada umekuwa ukitoka kwa wachangiaji wa kawaida tu,tunaomba kufahamishwa ni kweli hao wataalamu wapo kwenye hili jukwaa??
Jaribu kuekewa hakuna mtu ambaye anafuata matibabu humu JF, nimesema watu wapo humu kuomba ushaur na muongozo tu jinsi ya kufikia hayo matibabuKwani walikutaarifu labda kwamba Hospitali zao zitakuwa zinapatikana humu Jamvini? Umeshawahi hata siku moja kujiuliza tu ni kwanini katika matangazo yote ya Dawa mbalimbali kule mwishoni huwa wanasema tena kwa msisitizo kabisa kwamba kama Ugonjwa au Maumivu yakizidi wahi kamuone Daktari Hospitalini?
Sasa Wewe endelea tu kusubiri Madaktari waje humu kisha uchelewe au uzidiwe Ufe au Ufariki vizuri kisha tukuzike.
Hapo umesema kwelSasa hhao wanaokejeli sometime ndio wanafanya walio serious wasichangie