Piroxicam nimezitumia sana mpaka zimenizoeau.t.i shida sana we acha tu
dawa yake kunywa maji sana .
pia jiamini sometimes
umewahi kutumia piroxicam?
nitrofrulation?Piroxicam nimezitumia sana mpaka zimenizoea
Magonjwa ya Thphoid,Vidonda vya Tumbo,na ugonjwa wa UTI yamekuwa ni maradhi sugu yasiyosikia Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia kwa dawa zangu za Asilia kwa muda wa siku 30 utapona ukitumia dawa zangu.Ni muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid,vidonda vya tumbo pamoja na huu unaoitwa eti U.T.I.Nimetumia dawa mbalimbali lakini wapi.Kila nikipima lazima magonjwa mawili kati ya hayo lazima yaonekane!Sasa nimechanganyikiwa!
Nimekuwa mdhaifu mno na hata nilipomwambia Dokta kuwa ninahisi maumivu makali ya mwili wakati mwingine ninapofanya tendo la ndoa!Dokta alinijibu kwa dharau kuwa sasa ulitegemea nini baada ya ngono lazima uhisi maumivu kwani nayo ni kazi!!!Wadau naaombeni ushauri kama unajua dawa zilizowahi kukutibu tusaidiane ingawa nimeshatumia dawa nyingi sana!!!!
Typhoid mbona ugonjwa wa kawaida Tu labda useme hiyo Uti NA PUDNi muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid,vidonda vya tumbo pamoja na huu unaoitwa eti U.T.I.Nimetumia dawa mbalimbali lakini wapi.Kila nikipima lazima magonjwa mawili kati ya hayo lazima yaonekane!Sasa nimechanganyikiwa!
Nimekuwa mdhaifu mno na hata nilipomwambia Dokta kuwa ninahisi maumivu makali ya mwili wakati mwingine ninapofanya tendo la ndoa!Dokta alinijibu kwa dharau kuwa sasa ulitegemea nini baada ya ngono lazima uhisi maumivu kwani nayo ni kazi!!!Wadau naaombeni ushauri kama unajua dawa zilizowahi kukutibu tusaidiane ingawa nimeshatumia dawa nyingi sana!!!!
Naomba kujua dalili kuu unazohisigi pindi unapoumwaNi muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid,vidonda vya tumbo pamoja na huu unaoitwa eti U.T.I.Nimetumia dawa mbalimbali lakini wapi.Kila nikipima lazima magonjwa mawili kati ya hayo lazima yaonekane!Sasa nimechanganyikiwa!
Nimekuwa mdhaifu mno na hata nilipomwambia Dokta kuwa ninahisi maumivu makali ya mwili wakati mwingine ninapofanya tendo la ndoa!Dokta alinijibu kwa dharau kuwa sasa ulitegemea nini baada ya ngono lazima uhisi maumivu kwani nayo ni kazi!!!Wadau naaombeni ushauri kama unajua dawa zilizowahi kukutibu tusaidiane ingawa nimeshatumia dawa nyingi sana!!!!
Nan alikupaga hiz dawa? Umeshasema hapo juu una vidonda vya tumbo kisha unatumia dawa za aina hii kwann.? Hiz zinaitws NSAIDS mf mwingine no ibuprofen,Asprin,diclofenac etc NA ukizitumia mda mrefu zina hatarisha kupata vidodnda vya tumbo....muwe mnapata ushaur wa dr kabla ya kuanza kuzitumia maana nying zina side effect ....Usije ukaambiwa dawa humu ndani ukaenda kuitumia bila kupata ushaur wa kitaaluma otherwise utakuwa unaongeza tatizo badala ya kupunguzaPiroxicam nimezitumia sana mpaka zimenizoea
Hizo dawa nimezitumia kwa miaka mingi na nilikuwa ninapewa hospitali tena na hao wanaoitwa madaktari bingwa!Tokea nimeanza kuugua mara nyingi nilikuwa ninahisi maumivu ya kiuno na mwili mzima!Ndiyo maana daktari nilipomwambia kwamba hata ninapofanya tendo la ndoa maumivu ndiyo yanazidi aliniambia eti ni kwa sababu tendo la ndoa nalo ni sehemu ya kazi!!!Nan alikupaga hiz dawa? Umeshasema hapo juu una vidonda vya tumbo kisha unatumia dawa za aina hii kwann.? Hiz zinaitws NSAIDS mf mwingine no ibuprofen,Asprin,diclofenac etc NA ukizitumia mda mrefu zina hatarisha kupata vidodnda vya tumbo....muwe mnapata ushaur wa dr kabla ya kuanza kuzitumia maana nying zina side effect ....Usije ukaambiwa dawa humu ndani ukaenda kuitumia bila kupata ushaur wa kitaaluma otherwise utakuwa unaongeza tatizo badala ya kupunguza
Nikihisi njaa mimi hulegea sana kiasi kwamba ninaweza kuanguka.Baada ya kula tumbo hujaa na kuwa kama puto!Baada ya kama saa moja ninaanza kuharisha.Tumbo linaninyonga sana na kuuma.Maumivu ni ya mwili mzima mithili ya mtu aliyefanya kazi nzito ya kunyanyua vyuma!Kwa sasa niko mdhaifu sana siwezi hata kuelezea hapa!!!Naomba kujua dalili kuu unazohisigi pindi unapoumwa
PUD,ni ugonjwa gani?Typhoid mbona ugonjwa wa kawaida Tu labda useme hiyo Uti NA PUD
Mkuu PIROXICAM ni antpain hivyo haiwezi kumtibu zaidi ya kupoza maumivu tu.u.t.i shida sana we acha tu
dawa yake kunywa maji sana .
pia jiamini sometimes
umewahi kutumia piroxicam?
PEPTIC ULCER DISEASE kwa kiswahili madonda ya tumbo.PUD,ni ugonjwa gani?
kwe mkuu unateseka pole sana ningekushauri kama kweli umewahi kupimwa ukambiwa unamadonda ya tumbo tumia Triple therapyNikihisi njaa mimi hulegea sana kiasi kwamba ninaweza kuanguka.Baada ya kula tumbo hujaa na kuwa kama puto!Baada ya kama saa moja ninaanza kuharisha.Tumbo linaninyonga sana na kuuma.Maumivu ni ya mwili mzima mithili ya mtu aliyefanya kazi nzito ya kunyanyua vyuma!Kwa sasa niko mdhaifu sana siwezi hata kuelezea hapa!!!
Nenda JKBRS Ubungo Plaza ground Floor nina matumaini watakusaidia.Ni muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid,vidonda vya tumbo pamoja na huu unaoitwa eti U.T.I.Nimetumia dawa mbalimbali lakini wapi.Kila nikipima lazima magonjwa mawili kati ya hayo lazima yaonekane!Sasa nimechanganyikiwa!
Nimekuwa mdhaifu mno na hata nilipomwambia Dokta kuwa ninahisi maumivu makali ya mwili wakati mwingine ninapofanya tendo la ndoa!Dokta alinijibu kwa dharau kuwa sasa ulitegemea nini baada ya ngono lazima uhisi maumivu kwani nayo ni kazi!!!Wadau naaombeni ushauri kama unajua dawa zilizowahi kukutibu tusaidiane ingawa nimeshatumia dawa nyingi sana!!!!
Pole sana mkuu...huko kujaa kwa tumbo ni hata ukila chakula kidgo Tu au ukishiba sanaaa? Je huwa unahisi kichefuchefu ama kutapika? Na choo chako kama hujala huwa kikoje rangi yake?Nikihisi njaa mimi hulegea sana kiasi kwamba ninaweza kuanguka.Baada ya kula tumbo hujaa na kuwa kama puto!Baada ya kama saa moja ninaanza kuharisha.Tumbo linaninyonga sana na kuuma.Maumivu ni ya mwili mzima mithili ya mtu aliyefanya kazi nzito ya kunyanyua vyuma!Kwa sasa niko mdhaifu sana siwezi hata kuelezea hapa!!!