Hivi Magufuli angekuwa ni Rais wa mojawapo ya Nchi Wahisani, angetoa misaada kwa nchi zinazoendelea?

Nchi wahisani zinaendeshwa na sheria na katiba na mabunge, maseneta yapo kuisimamia serikali, hata kama raisi hataki hana namna.

Trump kilichompata hata hakijui!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
sio kwa roho mbaya ile. kila mtu ni mchoyo ila sio kwa kiwango kile utadhani anatoa pesa yake mfukoni
 
Libya ilipiga sana hatua enzi za Gaddafi ajabu akavamiwa na kuuliwa....wazungu sometime nao ndumi la kuwili ukiendelea lazima watafute namna ya kukuangusha.


So kwa roho ya jiwe sijui ingekuaje maana noma...
 
Nashangaa hapa wanaosem.asingeweza kam.hayo kafanya hiv wabong.tunann jaman

Kutothamini nafasi yetu hapa Afrika. Michango, historia, uwezo wetu, kutukana? kudharau, kukejeri utawala wowote uliopo madarakani kwa sasa.

A bit of it is mental slavery mentality. Of course atakosea, kuna sehemu anakosea, ningekuwa mimi, wewe, wapingaji pia ni hivyo hivyo.

Constructive criticism ni nzuri. Onyesha wanapokosea na pia way foward.
 
Eti msaada DRC kwa kuwalinda?!! Unajua kitita cha dora tunazopokea kutokana na kuwepo wajeda huko?
 
Eti msaada DRC kwa kuwalinda?!! Unajua kitita cha dora tunazopokea kutokana na kuwepo wajeda huko?

Kwanini tusizipokee sisi ambapo wakiwa wakimbizi ndio tutakaoathirika zaidi?

Unajua wangapi wamekufa, maisha ya vijana cut short.

Maisha ya wanajeshi, vijana wetu unaweza kuyawekea thamani gani?

Tunajitolea maisha yetu, ya vijana wetu kuwalinda.
 
Hujamuelewa mwenye mada! Hao wote ni masikini wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahitaji vitu vitatu tu kupata maendeleo kwa kasi: mifumo ya Reli, Umeme wa kutosha na kilimo bora.

Magufuli akijaribu kufanya hayo nyie ndo wakwanza kupinga. Nyie pamoja na vizazi vyenu mtamshukuru JPM kwa reli ya SGR na Nyerere hydropower station.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…