ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #201
Nashindwa kuelewaaa uwiiiiiiiiiSiyo unyanyapaa mkuu
Nguo ziheshimiwe, unajua zinawafinyanga sana ma female...unaweza kuta mwanamke nguo zimemkaa, mkiingia ndani kuna vitu vinaporomoka kifuani mara kwenye matumbo howaaa paraaa
Ukianza kuvunja amri ile, unavuta hisia kama vile unavuta sigara dawa!
Ni kweliTungekua kama wanyama wengine tu, kusingekua na jipya....
😉😉Boooom
Pumbafu next Time ukivuka mipaka namna hio ntakuvunja ugoko😁Nisamehe kaka kama nimeteleza. Nikajua umeshalala.
Shukran kaka nimeelewa maana yako karibu tena 😊Mkuu nilimaanisha kuwa disrupted nikiwa na maana kwamba mabadiliko makubwa ya allocation of resources (Ugawaji wa Rasilimali).
Sasa hivi, asilimia kubwa ya ubunifu wa binadamu na mtaji umekwama kwenye fashion & textiles kama tusingekuwa na hivyo viwanda, hiyo mental energy na capital ambayo sasa hivi inaenda kwenye kushona nguo, ingeenda wapi?
Hii ndio tunaita opportunity cost, kutokuwepo kwake uchumi usingesimama, lakini hali ingekuwa tofauti kabisa.
Mfano rahisi ni namna unavoishi na mume/ boyfriend wako mkiwa uchi sometime hakuna maajabu yoyote mnaonana kawaida mno....Ni kweli
Nipe za mitandao yote ili wengine wakikuomba namba uwaambie zote umempa Ayatollah wa JF 😎.nikupe lipa namba ya mtandao gani 🤣🤣🤣🤣
Nitajichunga sana next time.Pumbafu next Time ukivuka mipaka namna hio ntakuvunja ugoko😁
Ulishawahi kuvunjwa tayaNipe za mitandao yote ili wengine wakikuomba namba uwaambie zote umempa Ayatollah wa JF 😎.
Basi basi mkuu 🙌Ulishawahi kuvunjwa taya
ba mtu kuna bill ya kulipa sasa ukimvunja nani atanilipia😔Ulishawahi kuvunjwa taya
Kwa kweli 👏👏Mfano rahisi ni namna unavoishi na mume/ boyfriend wako mkiwa uchi sometime hakuna maajabu yoyote mnaonana kawaida mno....
achana nae uyo asikutisheBasi basi mkuu 🙌
daahNipe za mitandao yote ili wengine wakikuomba namba uwaambie zote umempa Ayatollah wa JF 😎.
Mi najua muda wake wa kulala, so akilala tuendelee kuchati.achana nae uyo asikutishe
Bill kitu gani bana weweba mtu kuna bill ya kulipa sasa ukimvunja nani atanilipia😔
Unataka picha au video ganiWeka picha tuamini unachokisema au video
Imagine uione mbususu na anus vikiwa karibu wakati wa kuinama Kwa nyie mademu.Wewe unaona yangekuaje?
Endelea naona huzipendi Taya zako😁Mi najua muda wake wa kulala, so akilala tuendelee kuchati.