Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Mimi naona nguo zimetustaarabisha sana. Kusingekuwa na ndoa, mtu anajichapia live. Tena tungekuwa na vita sana kisa mapenzi. Huoni wanyama kama simba lazima wapigane mpk kifo kisa mmoja achukue territory
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…