Zinakuwa neneNdio nini mkuu
Aisee😂Vuzi lisingepigwa topaz, yaani nyeti zingefunikwa na vuzi mwanzo mwisho...
Sema sasa, wanawake wangeingiaje period yaani kungekuwa na mechanism gani ya wao kujiweka vizuri wakiwa period?
Halafu, mwanaume ukisimamisha wakati upo mtaani, kijiweni, ibadani...ingekuwaje. Mbona naona bila kujivika mavazi ingekuwa balaa lingine!
Haya bwana ma great thinker mnapongezana😂Ni kina nani hao ma Great Thinker mkuu🤣🤣
Naomba kuuliza hivi wanyama nao wa Naingia period? Mbona sijawahi kushudia?Vuzi lisingepigwa topaz, yaani nyeti zingefunikwa na vuzi mwanzo mwisho...
Sema sasa, wanawake wangeingiaje period yaani kungekuwa na mechanism gani ya wao kujiweka vizuri wakiwa period?
Halafu, mwanaume ukisimamisha wakati upo mtaani, kijiweni, ibadani...ingekuwaje. Mbona naona bila kujivika mavazi ingekuwa balaa lingine!
Bila uthibitisho ni tumba tuKwa sababu the "truth" they're searching for isn't found in criticizing something pointing towards it. Na ukweli wenyewe ni outside minds chatter
Unataka uthibitisho gani ewe mmatumbi 😂?Bila uthibitisho ni tumba tu
Tumba za kimatumbi tu bwasheeUnataka uthibitisho gani ewe mmatumbi 😂?
Actually there's no truth, thus it is an illusion people chase. There's only this moment. The now.Tumba za kimatumbi tu bwashee
Baada ya kujiuliza hayo maswali,sasa hamia kwenye swali moja;Ingekuaje kama binadamu tungekosa utashi/akili ya kutofautisha mema na mabaya?Nimetoka kuoga wakati napaka Lotion nilikua mbele ya kioo gafla nikajiona kwenye kio nikiwa mtupu
Hapo hapo nikajiuliza hivi ingekuaje kama tungekua tunatembea utupu bila nguo hivi maisha yangekuaje?
Nikajiuliza pia hivi ni nani alipata wazo la kuvaa nguo
Aliwaza nini ?
Ni baridi kali ilimsukuma?
Au jua kali kupita kiasi?
Au aibu ?
Kama ni aibu alijuaje hii ni aibu ?
Maana kwa viumbe hai nadhani mwanadamu ndio anavaa nguo
Mada yangu naigawanya sehemu mbili wewe mdau utajibu upande unaopenda
👇
Mtazamo wa kidini
Kwa mujibu wa Biblia, baada ya Adamu na Hawa kula tunda walilokatazwa, wakafumbuliwa macho wote wawili, wakajua kuwa wako uchi wakashona majani ya mtini, wakajifanyia nguo (Mwanzo 3:7)
Baadaye Adamu akasema:
Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha (Mwanzo 3:10)
Hapo tunaona Adamu alikua akiishi mtupu na hakuwahi kugundua kua alikua mtupu alikua kawaida
Baada ya kula hilo tunda ndio akagundua kua yupo uchi yeye na Hawa
Swali la kujiuliza kama Adam aligundua kua yupo uchi baada ya kula tunda
Hii ina maana mwanzo hakujua chochote na alikua akiishi mtupu
Je huko kwenye bustani ya Edeni hakukua na baridi?
Kama lilikuepo mbona hakusikia?
Je hakukua na jua kali ?
Kama lilikuepo mbona hakulisikia?
Au kulikua na mazingira rafika kwa kuishi mtupu?
Je, simulizi hili linaonyesha kwamba desturi ya kujisitiri ilianza hapo, au ni fundisho la kiroho kuhusu dhamiri ya mwanadamu?
Mtazamo wa kifalsafa 👇
JE , nguo ni matokeo ya akili ya mwanadamu kutafuta ulinzi dhidi ya baridi, jua na mazingira, au ni makubaliano ya kijamii kuhusu staha na utambulisho?
Leo utasikia mtu wa kwanza kugundua simu ni fulani
Aliegungua radio ni fulani
Hivi ni nani wa kwanza aligundua kwamba watu wavae nguo badala ya kutembea watupu?
Kama tungekuwa kama wanyama wengine wasiovaa nguo, je, maadili na maisha ya jamii yangekuwaje?
Yaani tuwe kama ng'ombe , Mbuzi ,
Au wanyama wa mwituni
Yaani tungekua tunapeta naked ingekuaje😅🙌
ShesRise_1 ✋️
Umemaliza kila kitu , mmatumbi pua pana.Actually there's no truth, thus it is an illusion people chase. There's only this moment. The now.
That's all I can say. Au Kuna lingine la kuongeza mmatumbi? 😂
PeriodtUmemaliza kila kitu , mmatumbi pua pana.
Haitakiwi uwe stress , ndivyo ilivyo bwashee , ni hali halisiPeriodt
Na wala hatuna stress, no worries in africaView attachment 3627449
Kukataa uhalisia ni sawa na kufukia kichwa chini ya ardhiHaitakiwi uwe stress , ndivyo ilivyo bwashee , ni hali halisi
SureKukataa uhalisia ni sawa na kufukia kichwa chini ya ardhi
Jamii kubwa ya wanyama hawaingii period, nasikia nguruwe anaingia period, sasa sijaujua ukweli wake.Naomba kuuliza hivi wanyama nao wa Naingia period? Mbona sijawahi kushudia?
Au ndo ubize wa maisha tunasahau ku observe?
HayaMabeko tungeyaona live
Duh hatariAmazon Brazil
Hapana hiyo shughuli sitaiwezaWatu wanatisha wakiwa uchi we waone hivi hivi tu
Ila sema kama unataka kujua uchi unatishaje pendelea shughuli za kusafisha na kuandaa maiti