Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Maisha bila nguo yangetupunguzia gharama za maisha.

Maana hizo bei za nguo ni kizungumkuti!
 
Kuna jamii kama sio Wamang'ati basi Wasandawe wanatembea uchi japo sio uchi uchi ila wanajiziba tu sehemu za siri kwa wanawake vifua wazi hii hata Wamasai, nadhan huku kwetu nguo zililetwa enzi za ukoloni wao kulingana na mazingira yao ya baridi ndio walianza kugundua nguo na kutuletea na sie
 
Inawezekana wakoloni walitufundisha kuvaa vizuri
 
Jamii kubwa ya wanyama hawaingii period, nasikia nguruwe anaingia period, sasa sijaujua ukweli wake.
Kumbe? Daah kwa hiyo menstrual cycle yao inaishaje jike lisipo pandwa? Unafikirisha sana
 
kumbe palikucha hivi jana aise dah?

In fact,
Adamu na Eva ndio walitufikisha hapa tulipo, hasa baada ya Adamu kushindwa kudhibiti upwiru wake pale bustanini,

baada ya kumaliza kupiga show kali, ndio akili zikamrudi, kujicheki down akaona kitu ambacho hakuwahi kukiwaza wala kufikiri jinsi kilivyo baada ya kutumika au kumaliza kazi. Eva mwenye ilimbidi akimbilie kichakani kuficha maajabu yake mwenyewe

Mungu hadhihakiwi ndugu zangu.
 
kumbe palikucha hivi jana aise dah?
Wewe ulikua wapi 😅
Au ulikua na bebez maana weekend
In fact,
Adamu na Eva ndio walitufikisha hapa tulipo, hasa baada ya Adamu kushindwa kudhibiti upwiru wake pale bustanini,
Sijui hata walianzaje aisee🤣🤣
Na hata kujua kwamba inafanywa hivi 🤔
baada ya kumaliza kupiga show kali, ndio akili zikamrudi, kujicheki down akaona kitu ambacho hakuwahi kukiwaza jinsi kilivyo baada ya kutumika. Eva mwenye ilimbidi akimbilie kichakani kuficha maajabu yake mwenye
Mambo ya kula tunda noma sana
heka heka zote zilianzia bustanini



Mungu hadhihakiwi ndugu zangu.
Amen mtumishi🙏
 
Niliona paja tu ndio
This time nataka kuona na 🍑
Nipate ku compare na yangu hivi hua zinafanana🤔😀😀😀
nimecheka sana,, nimekumbuka miezi iliyopita tulikuaga romantic kwenye uzi wa watu mpka tukaulizwa hu iz she and hu iz he😄😄 watu wakiona hapa si watahisi sisi ni lesbo looh hebu niache mwanza
 
nimecheka sana,, nimekumbuka miezi iliyopita tulikuaga romantic kwenye uzi wa watu mpka tukaulizwa hu iz she and hu iz he😄😄 watu wakiona hapa si watahisi sisi ni lesbo looh hebu niache mwanza
Mimi mara zote nipo romantic for you na wengine pia ila wewe hua nakuzidishia sana Switie🥰

Si unajua malovee yangu kwako babe🤪

Ni uzi gani huo diha 🤣🤣
Hatuwezi kua lesbo bana waache dhana potofu ebooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…