Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Mimi mara zote nipo romantic for you na wengine pia ila wewe hua nakuzidishia sana SwitieπŸ₯°

Si unajua malovee yangu kwako babeπŸ€ͺ

Ni uzi gani huo diha 🀣🀣
Hatuwezi kua lesbo bana waache dhana potofu ebooo
nimesahau ni uzi wa nani nikiukumbuka nitakwambia

yaaaas najua jamni😊 maana sio kwa kunidekeza kule😚😍

wee binadam hawakoswi cha kusema
 
Nimetoka kuoga wakati napaka Lotion nilikua mbele ya kioo gafla nikajiona kwenye kio nikiwa mtupu

Hapo hapo nikajiuliza hivi ingekuaje kama tungekua tunatembea utupu bila nguo hivi maisha yangekuaje?
Fanya kurudia hicho kipengere, halafu nitumie nikifanyie upembuzi yakinifu.
 
Kweli tembea uone
πŸ‡¬πŸ‡§ kila mwezi wa Sita kuna siku maalum ya kuendesha baiskeli uchi katika jiji la London.
Yaani uchi kabisa, wake kwa waume

Hiyo siku inaitwa WNBR
World naked bike ride
Sio uongo Huwezi kuwakuta weusi bali tuko pembeni ya barabara tukiangalia vituko vya dunia

Wao wanaona sawa tu na polisi wanalinda Usalama wa raia tu na Mali zao zilizo nje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eeeeh unasema mbona sitaki kuamiini πŸ™ŒπŸ™Œ hakuna video
 
Eeeeh unasema mbona sitaki kuamiini πŸ™ŒπŸ™Œ hakuna video
Nilijua hili swali litakuja tu
Ndio maana nimeweka na link kabisa ukachungulie hata YouTube
We kaangalie viroja huko maana unayataka πŸ˜‚πŸ˜‚
Wenzio tuliona live
 
Nilijua hili swali litakuja tu
Ndio maana nimeweka na link kabisa ukachungulie hata YouTube
We kaangalie viroja huko maana unayataka πŸ˜‚πŸ˜‚
Wenzio tuliona live
Uliona kwa macho yako mawili πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi ningecheka hivi wanaume hadi wa naniliuuu kiduchu wanakuemo?
 
Uliona kwa macho yako mawili πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi ningecheka hivi wanaume hadi wa naniliuuu kiduchu wanakuemo?
Huwezi kucheka bali utabaki mdomo wazi
Kwenye baiskeli Huwezi kuona kitu zaidi ya wanawake butts and tits
Wengine ni wazee sana hadi huruma
Na wala hawajali
Nimeona kwa macho yangu tena mara mbili
 
Hiko ndo kitu ambacho kinamfanya mwanadamu kuonekana anaakili na yuko timamu, ndio mana ukiwa upo uchi watu watakustili kwanza na kujaribu kuangalia je, uko sawa? ila cha ajabu na cha kukushangaza ila litakuja kua swala la kawaida, "pindi tutakapo fufuliwa basi tutakua uchi na hakuna mtu ambae atakaa kuhoji nguo zake ziko wapi bali atakua mbio kuelekea kwenye kisimamo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…