Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Aisee haya
 
Mnyama amepewa manyoya na vimifuko vya kufunika uchi.
Huwezi kuona uume wa mnyama mpaka awe tayari kuzalisha ndio unatoka nje, hvyo kama si nguo mungu angetuwekea vimifuko ama vipochi vya kuficha nyuchi zetu.
 
Unazungumzia jinsia gani mkuu!jike au dume? maana majike naniliii naona ziko nje nje kama tu mbuzi, tena mkia umebinuka juu!
 
Mnyama amepewa manyoya na vimifuko vya kufunika uchi.
Huwezi kuona uume wa mnyama mpaka awe tayari kuzalisha ndio unatoka nje, hvyo kama si nguo mungu angetuwekea vimifuko ama vipochi vya kuficha nyuchi zetu.
Vipochi vya kuficha nyuchi zetu 🀣🀣🀣
 
Hao watu wana dunia yao aiseeπŸ™Œ
Kama unashangaa moja unakuja kusikia lingine
Nilishangaa nilipoambiwa kuna kitu kinaitwa Swingers yaani kwa neno lingine swinging
Ni ngumu hata kuielezea maana wengine wataona kama ni hadithi za alinacha

Kwa kweli tuwaache na maisha yao tu
 
Swinging 🀣 niadithie mimi nitakuamini
Kwa kweli tuwaache na maisha yao tu
Wale watu lol πŸ˜†
 
Ndio napendaa😊
Basi Ile juzi nilikuambia ntatoka kuupa mwili pole.
Nilitoka na rafiki yangu.
Basi Kuna Mkaka akawa ananiita nikakausha.
Mara akanifata nilipokuwa nimekaa,kaja na simu yake eti naomba uniandikie namba Yako.

Nikamjibu usiwaze! namba nakupa baada ya kulipia vinywaji tulivyokunywa hapa. So,namtuma mhudumu akuletee bill halafu atakuletea namba yangu.

Akasema sawa mtume! Si nikamtuma bhana!
Kwani alikuwa na Hela πŸ˜πŸ˜… akashindwa kulipa bill ndogo sana na hapo ni vinywaji si chakula.

Mhudumu akaniambia amesema hana Hela😝 vinywaji vyenyewe ananunuliwa na rafiki yake πŸ™†.

Sijui alitaka namba yangu ya nini jamani 😜 au ya kunisaliimia oiii niaje? Mxiuuuuuuuu.

Lete Uzi wa watu kama Hawa Kazi kuharibia watu maisha πŸ˜‚.
Haya tupange Sasa mtoko wetu πŸ‘―β€β™‚οΈπŸ‘―β€β™‚οΈπŸ‘―β€β™‚οΈπŸ™ƒ
 
Kumbafuuuuuuuu alikua anakuona kama tracooooooo yake 🀣🀣
Ila we nae mtu mbadi
Lete Uzi wa watu kama Hawa Kazi kuharibia watu maisha πŸ˜‚.
Unasemaaa?
Haya tupange Sasa mtoko wetu πŸ‘―β€β™‚οΈπŸ‘―β€β™‚οΈπŸ‘―β€β™‚οΈπŸ™ƒ
Lini babe tutoke😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…