secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kabisa! Kujianika ni kutotaka watu wakuheshimu. Ajianikaye atachapwa na mtu mwenye ashiki halafu anatoswa.Kabisa hawajui tu, mwanamke anaejisitiri ana kua na vitu adimu ila yule paja lake na ugoko unajulikana na kila mtu kuna namna inakua kawaida sana
Unataka nikupinge tunanze kubishana 😅😅Nipinge bana.
Unavutia au hauvutii?Nilijiona mwili ukiwa hauna nguo
Sahihi, lakini sheria zilizowekwa zimewasidia kidogo wasio na nguvu.Hata kwa binadamu wenye nguvu ndio wanapata ngono.
Sema kwa sababu kuna sheria, nguvu inayotumika ni pesa, status, n.k
Mjini abdala kichwa wazi wala hashtuki ,ukikatisha kila kona mapaja nnje nnje , kijiji ukiona chupi imeanikwa tu unachanganyikiwavijijini reward system ya brain kwa vijana iko vizur... kuliko wa mjini
Mambo mbashara hakuna haja ya kujieleza sana 😅Ukweli ni kwamba maisha yangekuwa ya kweli sana, mtu asingeweza kuficha kama ana makovu, au kama ana maumbile tofauti, kuna wale wenye jinsia mbili hawa sasa sijui ingekuaje but uongo wa kijamii ungepungua sana.
Uchumi ungeteteleka je na hata haujawahi kuwepo sasa?Upande wa biashara, sekta ya mavazi (fashion industry) ambayo inaajiri mabilioni ya watu duniani ingepotea kabisa na uchumi ungetetereka vibaya mno.
Hizo bullying sasa yule hivi yule vile 😆Kifupi kama tungeishi bila nguo, binadamu asingekuwa na siri na dunia isiyo na siri ni dunia ambayo ingebidi tuishi in total transparency jambo ambalo mwanadamu wa sasa aliyejawa na unafiki hawezi kulimudu kabisa.
We unani-enjoy tu!Hata mimi naona hongera
Mtu mwenye ashiki👈Kabisa! Kujianika ni kutotaka watu wakuheshimu. Ajianikaye atachapwa na mtu mwenye ashiki halafu anatoswa.
Hawajui tu!
Sahihi,maana mfano kwa wazungu mwanamke kubaki na bikini na sidiria hakuna mshangao wowote kwa mwanaume ni kama tu yupo na mwenzake..Uchi usingeonekana kuwa wa aibu au wa kuvutia kwa kiwango cha sasa, kwa sababu ungekuwa jambo la kawaida tu.
Heh huyu yupo timamu kweli🤔Mbona shega tu .
View attachment 3627288
Hii imetoka moyoni hongera😀We unani-enjoy tu!
Kumeza mate kama fala😅😅Sahihi,maana mfano kwa wazungu mwanamke kubaki na bikini na sidiria hakuna mshangao wowote kwa mwanaume ni kama tu yupo na mwenzake..
Ila kibongo ikitokea hivyo unaweza kuona mwanaume anavyotoa macho na kumeza mate kama fala.
Nyinyi hivyo vi mkia 🤣mhhh wanawake mngetisha sana na vitambi vyenu 🤣
🚮Mtazamo wa kidini ni wakipuzi ukiubeba kama ulivyo, bila kujua walikusudia kumaanisha kitu gani( code ).
Tumeisha tunakoelekea....Mjini abdala kichwa wazi wala hashtuki ,ukikatisha kila kona mapaja nnje nnje , kijiji ukiona chupi imeanikwa tu unachanganyikiwa
Wala Mimi siyo mwalimu. Hili ni mangoni mwa maneno ambayo baba yangu Mdinyakobe Kimario alikuwa akipendelea kuyatumia.Mtu mwenye ashiki👈
unaongea kiswahili cha ndani ndani we ni mwalimu wa kiswahili😅😅
true maana hatujatumia hata 10% ya akili zetu kipindi kile nilipitia changamoto nikajua ndo mwisho wa dunia nilipokuja kufanya tahajud nikapata njia ya kuivuka kiurahisi tu angal mwanzo niliona ngumuHuenda hata sasa hivi kuna vitu vimefungwa!