Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
kwa kifupi ni kwamba kuna vitu unaweza kufanya ukiwa na hasira sana baadaye ukaja kujuta hapo akili inayojua mema na mabaya inakuwa haifanyi kaz kujua ili nafanya mbaya niache phia akili ya kiungu ni ule uwezo wa mtu kutabiri, kuona maono,kuponya ni akili inayohakikisha unapumua ndo maana uwez kujiua kwa kujizimba pumzi mwenyeweUngefafanua huu mgawanyiko kwa mapana sana
Hii ni ipi aisee
Kwa nini aliwafunga ?
Na baadae akawafungua?
Haya asante karibu tenakwa kifupi ni kwamba kuna vitu unaweza kufanya ukiwa na hasira sana baadaye ukaja kujuta hapo akili inayojua mema na mabaya inakuwa haifanyi kaz kujua ili nafanya mbaya niache phia akili ya kiungu ni ule uwezo wa mtu kutabiri, kuona maono,kuponya ni akili inayohakikisha unapumua ndo maana uwez kujiua kwa kujizimba pumzi mwenyewe
Umeanza vizuri kama profesa ukamaliza kama mgonjwa wa mirembe😄Nani alikwambia kuwa uchi ni vibaya?
Hayo yote umefundishwa tu, kitu ambacho kinadhihirisha kuwa hakuna aibu ya asili kwa kuwa uchi.
Aibu ni jambo la kujifunza tu. Unaweza ukabadilisha fikra na ukaanika kinyeo chako hadharani bila tabu yoyote.
Nataka mwakani nianze kutembea na chupi kichwani huku pumbu lote liko wazi.
🤣🤣🤣🤣🤣niione liveNije tufanye practical bibie😊
Ndio nilikuwa nagusia kwenye mada kwamba tungekuwa tunatembea uchi tusingehitaji kulipia viingilio kwenye sehemu za starehe tungekuwa tunakaa barazani kuangalia wapita njia wakipita na makalio pamoja na matiti ya kuvutia yaliyo wazi.No comment kwenye hili
Jikite kwenye mada
Hapa hatuzungumzii issue za mvuto
Sawa tu na mim niione live Yani hii hapa😊🤣🤣🤣🤣🤣niione live
🤣🤣🤣🤣Sawa tu na mim niione live Yani hii hapa😊
🤣🤣🤣🤣
Shingo zinakua kama za bundi😆Ingekuwa kawaida tuu, tungezowea! Binadamu mindset yake ina kitu mazoea, kukinai na tamaduni. Kwani kabla ya nguo hizi, jamii zililiwa zinaishi vipi??
Ndio maana mmatumbi akienda Ibiza, au Sao Paulo Brazil, Viunga vyote vya Miami, anaweza kuvunja shingo; watu ni mwendo wa bikini tuu na ndio wamezowea hivyo. 😊
Nimesema ili wale wa kuuliza et ulikua umewaza nini wasipate taabu kuulizaNje ya mada; We binti utakuwa ni mzuri sana; umeamua kuturusha roho tuu. 😊
Ndio nini mkuuNasikia kuna papuchi ghorofa
Gudubaiiiiiii 🏃♀️🏃♀️si hizo biringanya na misokolombo
Aiseee sipati picha duhNdio nilikuwa nagusia kwenye mada kwamba tungekuwa tunatembea uchi tusingehitaji kulipia viingilio kwenye sehemu za starehe tungekuwa tunakaa barazani kuangalia wapita njia wakipita na makalio pamoja na matiti ya kuvutia yaliyo wazi.
umeanzisha weweGudubaiiiiiii 🏃♀️🏃♀️
DealDeal?
Nimefanya je mahi😆umeanzisha wewe
Shingo zinakua kama za bundi😆
Wakivaa vimini ndio wanaona wanapendeza bwashee 😅