ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #161
Basi kama ukisema unapata dhambi usiseme mwache Dad yanguπnisije kupata dhambi bure
ni dad au daddy au dadiii ama daddieBasi kama ukisema unapata dhami usiseme mwacha Dad yanguπ
Nije nimtafute Mshana Jr anipe info zaidi maana hua naishia ile stage kama unaanguka shimon tu!true maana hatujatumia hata 10% ya akili zetu kipindi kile nilipitia changamoto nikajua ndo mwisho wa dunia nilipokuja kufanya tahajud nikapata njia ya kuivuka kiurahisi tu angal mwanzo niliona ngumu
Binti ebu tulia ebooooπni dad au daddy au dadiii ama daddie
Sawa ewe kijana wa makamoπ
Mbona zipo jamii wanaishi uchi wa mnyama
Mi nacheka nikiona kwenye comment umeweka hiki ki emoji πSawa msichana.
Deal
Mi nacheka nikiona kwenye comment umeweka hiki ki emoji π
Hawa hua hawaogi?
kila la kheriNije nimtafute Mshana Jr anipe info zaidi maana hua naishia ile stage kama unaanguka shimon tu!
Wajaluo walivyo weusi, yaani vipochi vyao vingekuwa vinaonekana kama hirizi zilifungiwa vitambaa vyeusi, wakigeuke nyuma na makebo yao yangekuwa yanaonekana kama chungu cha kupikia supu ya mgonjwa wa ebolaUna utani na watu wa ukerewe
Heh mbona unawaza mbali sana
Kuzungumzia na wanaume acha kupendelea
Sijui hataπHuwa unacheka nini? π
Mkuu huu sio unyanyapaa kweliWajaluo walivyo weusi, yaani vipochi vyao vingekuwa vinaonekana kama hirizi zilifungiwa vitambaa vyeusi, wakigeuke nyuma na makebo yao yangekuwa yanaonekana kama chungu cha kupikia supu ya mgonjwa wa ebola
Dah! Sema nguo ziheshimiwe aisee π
Sijui hataπ
Huyu jamaa ni mtani wangu πππ€£πsecretarybird please futa hiyo comment kuhusu huyo mtu ππ
SijuiiiiiiiiiUnapata hisia gani na hii emoji? π
Sawa ila naona haijakaa sawaHuyu jamaa ni mtani wangu πππ€£π