Hii bhagosha!Wa Nigeria sio kwamba wamesoma sana wamefoji sana vyeti pia waliosoma wapo kawaida tu wao kufoji ni sehemu ya maisha yao ni kawaida tu..
ππππAangalie movie za Aki na Pawpaw yale ndo maisha halisi ya Nigeria , waliona kituo cha polisi cha Oysterbay baada ya msanii wao mmoja kukamatwa Tz ikazua gumzo nchi nzima Nigeria wanashangaa Tz inawezaje kuwa na kituo cha polisi kizuri kama kile ilikua ni maajabu hawajawahi kuona kwao
Yahoo boys πKweli na hilo lipo sana na ni waizi na waongo kupita kiasi
Wamewaliza sana wazee huku Ulaya kwa kuwaomba misaada wakijiganya ni watoto wa vigogo waliofungwa kwenye nchi zenye vita
Ni balaa hao jamaa ila huko SA wamekimbiaYahoo boys π
Yeah jamaa wanatisha mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa wana nitumia sana text online yahoo πππNi balaa hao jamaa ila huko SA wamekimbia
Dangote alisema kwenye interview ya nafasi za udereva Kuna watu 2 wenyew Ph.D wawili waliomba kazi hizo pia, akasema akawapa mkataba wa kufanya nao kazi kwa muda Fulani then anawaachia malori hayo yawe Yao.Huu ndo ukweli mchungu umeamua kuuweka hapa
MTU awe na PhD then aishie kusafisha viatu
Na wengi walipigwa πYeah jamaa wanatisha mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa wana nitumia sana text online yahoo πππ
Wana jifanya mademu wanaweka profile picture ya mwanamke mzuri sana π
SaanaNa wengi walipigwa π
Wazungu wamelizwa sana hasa kwa hili la baba alikuwa mjeda halafu kauwawa kaacha hela nyingi SwitzerlandSaana
Akikuambia umtumie credit card namba ili akuingizie mzigo wa urithi alioachiwa na wazazi wake tu yaani umekwisha π€£π€£
π¬π¬ Honey trapWazungu wamelizwa sana hasa kwa hili la baba alikuwa mjeda halafu kauwawa kaacha hela nyingi Switzerland
Nitumie Β£2000 niweke mambo sawa ili uwekewe kwenye account yako
Na hiyo ya upendo wengi walitumbukia
Na bado wanalizwa MPAKA FBI wanawafwata Nigeria mchezoWazungu wamelizwa sana hasa kwa hili la baba alikuwa mjeda halafu kauwawa kaacha hela nyingi Switzerland
Nitumie Β£2000 niweke mambo sawa ili uwekewe kwenye account yako
Na hiyo ya upendo wengi walitumbukia