Mungu apushie mbali, lkn nifumanie kwa macho yangu halafu nisamehe!???
Loh! Neva, apo ndo its over.
Km unaniuliza mm kuh kids I can handle them coz nashkuru kifinacial niko vizuri Alhamdulillah.Kufumania inauma sana. sasa umegundua na ukamfukuza forever.... watt utawafanyaje kama umezaa nae. Na wanawake wachache sana wasiocheat. Tunaishi nao kama ustaarabu wa maisha tu
wanaume huwa wagumu sana kusamehe wakimegewa but huona 'poa tu' na kujisifia wanapocheat...
Wana jamvi. Mi nata kujua baada ya kufumania na ukasamehe (saba mara sabini) huwa maisha yanakuwaje ndani ya nyumba.
Ogopa sana kusamehewa na mwanamke, anapo kufumania ni mateso sana unajua watu wanashindwa kuelewa ukweli kua wanawake hawana huruma ila wana uchungu, kueni makini yamenikuta
Km unaniuliza mm kuh kids I can handle them coz nashkuru kifinacial niko vizuri Alhamdulillah.
Siwezi kuendelea tn na mtovu wa dabu huyo.
Na kumbuka I said ikiwa ntafumania kwa macho yangu sio maneno ya kuambia
Kweli mkuu! Mpango wa ku-delete files kutoka kwa brain, mmh!
Which is next to impossible.ukishakubali
kusamehe lazima uwe tayari ku-delete mafaili yote ya ya zengwe
lililotokea na kuendelea na maisha...
Hahahaaa! Si kwa wote jamani.
Ogopa sana kusamehewa na mwanamke, anapo kufumania ni mateso sana unajua watu wanashindwa kuelewa ukweli kua wanawake hawana huruma ila wana uchungu, kueni makini yamenikuta
Kufumania ni dogo je kuzaa nje ya ndoa je.
shit....nikisamehe ajue wazi kuwa na miye natafuta kimada