gambachovu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 1,854 Reaction score 292 Apr 28, 2012 #41 rushanju said: Wana jamvi. Mi nata kujua baada ya kufumania na ukasamehe (saba mara sabini) huwa maisha yanakuwaje ndani ya nyumba. Click to expand... Yanakuwa matamu sana kwani hata ukirudi saa nane usiku,hutaulizwa.. Utanyenyekewa utadhani mkeo anamhudumia Malkia.. Yaani full "freedom"... Ombea tu ihappen soon kwako!
rushanju said: Wana jamvi. Mi nata kujua baada ya kufumania na ukasamehe (saba mara sabini) huwa maisha yanakuwaje ndani ya nyumba. Click to expand... Yanakuwa matamu sana kwani hata ukirudi saa nane usiku,hutaulizwa.. Utanyenyekewa utadhani mkeo anamhudumia Malkia.. Yaani full "freedom"... Ombea tu ihappen soon kwako!
Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 75 Apr 28, 2012 #42 cartura said: ukishakubali kusamehe lazima uwe tayari ku-delete mafaili yote ya ya zengwe lililotokea na kuendelea na maisha... Click to expand... Problem wengi wetu hatu-empty recycle bin ndo maana kikitokea kisa kingine una-restore na mafaili ya zamani.
cartura said: ukishakubali kusamehe lazima uwe tayari ku-delete mafaili yote ya ya zengwe lililotokea na kuendelea na maisha... Click to expand... Problem wengi wetu hatu-empty recycle bin ndo maana kikitokea kisa kingine una-restore na mafaili ya zamani.
mgeni10 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 1,108 Reaction score 370 Apr 28, 2012 #43 Ukisha samehe unaanza upya Hakuna la jana linalotakiwa kuendelea kupita mawazoni wala moyoni Samehe na sahau. kisha anza upya
Ukisha samehe unaanza upya Hakuna la jana linalotakiwa kuendelea kupita mawazoni wala moyoni Samehe na sahau. kisha anza upya
M Mbuli Member Joined Sep 18, 2011 Posts 80 Reaction score 12 Apr 29, 2012 #44 Ambassador said: Problem wengi wetu hatu-empty recycle bin ndo maana kikitokea kisa kingine una-restore na mafaili ya zamani. Click to expand... wataalam wanasema kila kilichoandikwa kwenye hdd hakifutki moja kwa moja. Utatumia kila njia lkn wakitaka wanaweza kupata hiyo data. Na ubongo uko hivo
Ambassador said: Problem wengi wetu hatu-empty recycle bin ndo maana kikitokea kisa kingine una-restore na mafaili ya zamani. Click to expand... wataalam wanasema kila kilichoandikwa kwenye hdd hakifutki moja kwa moja. Utatumia kila njia lkn wakitaka wanaweza kupata hiyo data. Na ubongo uko hivo