Ndevu mbili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 379
- 41
Habari zenu wana JF.
Hua najiuliza maswali lakini sipati picha.
Hivi ili uwe maarufu wa jambo lolote lazima ufanye jambo au kitu tafauti katika jamii.
So hapa nawaombeni tuyaweke majina yaliokua yakitumiwa kwa hawa wanaume/wanawake kwa ajili ya umaarufu wao.
Kupata mademu/mabwana waliitwaje?
A.k.a zao wakati huo au sasa?