Hivi majina ya waliomba uhamisho yanatoka lini?

Hivi majina ya waliomba uhamisho yanatoka lini?

Nsumbanzunya

Senior Member
Joined
Jun 13, 2014
Posts
177
Reaction score
42
Swali langu dogo tu sema lina msaada kwa wengi.Hivi majina ya waliomba uhamisho yanatoka lini? Na hivi wale walochelewa kupeleka barua kwa RAS et watachelewa kupata barua zao za uhamisho? Mfano mi dogo kapeleka tar 2/6/2014 hebu wadau yusuph SHIKILINDI njooni hapa
 
Last edited by a moderator:
afadhali wewe ulituma tarh 2 mimi nilipeleka tarh 10/6 na trh 16/6 nilishauriwa nizitume kwa EMS tamisemi nitafanikiwa tusuburi next week
 
Back
Top Bottom