Swali langu dogo tu sema lina msaada kwa wengi.Hivi majina ya waliomba uhamisho yanatoka lini? Na hivi wale walochelewa kupeleka barua kwa RAS et watachelewa kupata barua zao za uhamisho? Mfano mi dogo kapeleka tar 2/6/2014 hebu wadau yusuph SHIKILINDI njooni hapa