Hivi majipu kutoka usoni nini tiba yake

Mtoto wa kitaa

Senior Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
149
Reaction score
17
wataalamu kuna rafiki yangu ana umri wa miaka 22 , uso wake ni wa mafuta anasumbuliwa na majipu usoni huwa yanatokea mara kwa mara hivi nini tiba yake.naombeni kujua amepima HIV hana ivi tatizo linasababishwa na nini ni muda mrefu amekuwa akisumbuliwa.
 

Sijui kwa watu wazima ila kuna mtoto wa rafiki yetu alikuwa anasumbuliwa na majipu ya usoni sana. Mtu mwema alipomwona tu akashauri asipewe Blue Band ya Kenya na waliopoacha tu maana mtoto alikuwa anaipenda sana basi kuanzi siku ile majipu yalipona kabisa. Hili ni angalizo kwa wana JF wote na marafiki zenu be careful with the Blue Band!!!!!
 
Muulize kwanza kama ana demu? Kama hana mwambie atafute fasta awe anachuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…