Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
🤣🤣🤣Ukiona dini unayoiamini haiamini Juu ya Yesu kuwa mkombozi wa ulimwengu na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu toka huko haraka na usigeuke nyuma!!
Ukiona unaeamini ndio mwokozi wako kalala mauti basi tambua hana cha kukusaidia njoo kwa Yesu alie hai Mbinguni
Njoo kwa Yesu bado hujachelewa ila huku hakuna shortcut utavuna ulichopanda🤣🤣🤣
Ukifa na hii imani yako feki utapata tabu sana utateseka sana utalia na kusaga meno sanaaaaaaaa
Uislam uislam uislam
Ukifa na hio imani yako mfu utajuta sana siku ya kutoka rohoNjoo kwa Yesu bado hujachelewa ila huku hakuna shortcut utavuna ulichopanda
Eti uue mtu uende peponi? Never
Uende kwenye mji mmoja kutalii na kuzunguka jiwe, unasemehewa dhambi zako zote? Hapana
Huku ni kutubu na kutenda yaliyo mema
Nakuombea uijue kweli, kuwa huko ulipo ni kazi bure njoo kwa Yesu bado haujachelewaUkifa na hio imani yako mfu utajuta sana siku ya kutoka roho
Utanikumbuka sana na hizi na saha zangu
Nimeota nimekutana na malaika watu, hilo halikunishutua sana mimi ni mpentecostal safi. Cha ajabu hawa malaika walisema wanatoka kwa suba(Mungu wa Islam) na wametumwa kwa baba yangu?
Hii inaweza kuwa na maana gani? Kwa kifupi kabisa mimi sijawahi hata kuwaza kuwa kwenye Imani hiyo. Je, hawa malaika ni akina nani?
We mlokole gani usiyemjua Mungu wa waislam? Mungu wa waislam ni ALLAH. Huyo msuba ni Mungu wenu huko
Siwezi kuabudia sanamu siwezi kuabudia mtu siwezi kumshirikisha Allah na Allah azidi nitia nguvu juu ya hiliNakuombea uijue kweli, kuwa huko ulipo ni kazi bure njoo kwa Yesu bado haujachelewa
Mtu mwema hutenda mema, hatafanya maovu na kusingizia alipewa upendeleo wa kipekee ilhali wengine wasifanye hilo
Tazama maisha aliyoishi Yesu ya upendo, amani na kusamehe then fananisha na huyo ambae unamfuata utagundua kuwa kweli ipo wapi
Omba sana Mungu akufunulie ukweliSiwezi kuabudia sanamu siwezi kuabudia mtu siwezi kumshirikisha Allah na Allah azidi nitia nguvu juu ya hili
Hujachelewa huko ukifa Utanikumbuka sana hupo sehemu sahihi huko
Ungeanza kuomba wewe na ukafunuliwa kwasasa ungeishakua muislamuOmba sana Mungu akufunulie ukweli
Warumi 8:31-39Ungeanza kuomba wewe na ukafunuliwa kwasasa ungeishakua muislamu
Ila mpaka sasa umefunikwa ndio maana unapotea
Ukiona Unaamini nje ya uislam unatakiwa ujitafakari sana
Nakukumbusha tu sababu tupo kwenye umma bora sana ambao kuamrishana mema na kukatazana maovu ni sehemu ya ubora wetu
Nakukumbusha tu
Ukifa na hizi imani zako za kutunga utaajuta huko kaburiniWarumi 8:31-39
[31]Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu?
[32]Yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote, atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja naye?
[33]Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki.
[34]Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye anayetuombea.
[35]Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga?
[36]Kama ilivyoandikwa, ya kwamba,
Kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa,
Tumehesabiwa kuwa kama kondoo wa kuchinjwa.
[37]Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda.
[38]Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba, wala mauti, wala uzima, wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayokuwapo, wala wenye uwezo,
[39]wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu.