Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Habarini wanajukwaa!!
Nimepata kero hapa mpaka nashindwa kutatua, naombeni kufahamishwa.
Ni hivi nimenunua umeme hapa Ila nimekatwa Makato ambayo sio stahiki Mana mara ya mwisho nilinunua November mwaka jana .
Sasa Leo nimenunua wa 15000 nashangaa wanakata deni 10500 napewa umeme wa 4500 sawa na unit 12.6.
Nimeweka hapa na receipt.
Wenye uelewa naombeni kufahamishwa