moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Ukiangalia picha hii utaona kuna watu wenye mwonekano wa kibinadamu wakipuliza tarumbeta huku wakiwa na mabawa (wings) makubwa kwa pembeni.
Swali ,je malaika hawa wana mabawa kama maandiko yasemavyo?
Je bila hayo mabawa hawawezi kuruka ama kupaa hivyo kupoteza cheo cha malaika?
Je kama mabawa kwa malaika yana kazi ya kupaa mbona YESU KRISTO aliweza kupaa kwenda kwa MUNGU baada ya kufufuka kaburini akiwa hana mabawa.
Are the angels real have wings...????
Au ni portrayal language tu kuelezea uwezo wao wa kupaa kama ndege.
Tujadili