moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Masefari ndo nini bossKwenye Biblia kuna "masefari na wale wenye uhai wanne - wote hao imeelezwa wana mabawa.
Ufunuo 4:8
Sasa sijui ndio malaika.
Jesus is lord 😳😳Kwa Imani ya Kiisilamu malaika ni viumbe wanao Tisha, wengine ni wakubwa kiasi kwamba dunia ni kama bacteria tu.
Hata ki biblia hawapo hivyo kama wanavyochorwa.
Kuna watu tu Na agenda zao wanawachora hivyo.
Kwa mujibu wa uislamu jibril ana pair 600 ya mabawa
Species za malaika kuna Maserafi, makerubiMasefari ndo nini boss
Ha ha .Kama popo bawa analo wao watakosaje..?