chinatown
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,232
- 1,105
watanzania eeeeh embu tuelimike hapa,kweli sisi ni maskini kweli kweli lakini kuna suala linaloendelea katika jiji letu la Dar es salaam mmmh hapana,wataalamu wa afya especially mabwana afya embu badilisheni namna ya kufanya kazi,
kuna wafanyabiashara wa chakula barabarani mazingira si rafiki kwa afya. mfano kwa sasa barabara nyingi Dar zinafanyiwa ujenzi so vumbi ni kitu cha kawaida kwa sasa lkn bado kina mama either kwa kujua au kutokujua nao wanaandalia vyakula au vitafunwa kwenye mazingira hayohayo.
bahati mbaya zaidi wananchi waliowengi either kwa kutojua au ujinga wananunua vyakula hivyo ambavyo mwisho wa siku vinawasababishia maradhi
mimi binafsi ninaomba serikali kupitia mabwana afya watoe elimu namna ya kuhifadhi hivi vyakula baada ya kuviandaa ili waviuze vikiwa na hali ya usalama kiafya
baada ya hapo atakae kwenda kinyume basi afungiwe kufanya biashara
yawezekana chanzo cha magonjwa mengi ikawa ni chakula kichafu ambacho watanzania wengi hula kutokana na umaskini wetu
hima serikali embu simamieni sheria ili tuwe na taifa lenye watu wenye siha njema nawakilisha