Hivi Mama Ngina ni nani huko Kenya?

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Nasikia huyu mwanamke anaongelewa sana huko kenya. Na inaonekana anapesa ndefu sana.
Hebu ndugu zangu wakenye nawaomba mniambia huyu mwanamke anajishughulisha na nini? Maana nasikia anamilki ardhi kubwa sana.
 
Ni yeye mwanzilishi wa mali yote ya familia ya Kenyatta.. pamoja na mzee Jomo.
 
Mama Ngina Mke wa Rais wa Kenya wa awamu iliyopita JK.
Nasikia huyu mwanamke anaongelewa sana huko kenya. Na inaonekana anapesa ndefu sana.
Hebu ndugu zangu wakenye nawaomba mniambia huyu mwanamke anajishughulisha na nini? Maana nasikia anamilki ardhi kubwa sana.
Ni mama mwenye akili kuwaliko watanzania 60million πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…