Hivi Man City itakuwa wapi bila Kevin De Bruyne?

Hivi Man City itakuwa wapi bila Kevin De Bruyne?

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
1,634
Reaction score
1,001
Wanaweza wakashinda mechi bila ya kuwa na Vicent Company, wameshafanya hivyo mara kibao.
wanaweza pia shinda bila Sergio Aguero, na hili linaonekana mara nyingi tu. swali ni je ni wapi Man city itakuwa bila ya mchezaji huyu? Kelvin De Bruyne.
Baada ya kutawala mpira ulioiwezesha Man city kuinyuka Feyewood Goli 4 - 0 , Pep Guardiola alimkubali sana na kusema kwake ni mchezaji bora sana ambaye hajahwahi muona katika maisha yake.
Nanukuu : Pep Guardiola called him “one of the best players I have ever seen in my life”, thanks to his ability to “make absolutely everything”. He is, with all due respect to Paul Pogba, the most complete player in the league. And if there is one difference with Gerrard it is the football brain De Bruyne has,

Kuna huyu manager wa Timu ya taifa ya Belgium Roberto Martinez , alinukuliwa akisema kuwa Mchezaji wa Man city Kelvin De Bruyne anawezakuja kuwa hatari kama walivyo kina Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
 
Kwa man city s hasara sana kwan n timu iliyo na backup ya uhakika na jna wameua mtu bila huyo
 
Back
Top Bottom