katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Akienda huko anaweza yoyote akamtaka. Sometimes anapaswa kumwambia ukweli kwamba sina haja nawewe then akubaliane na chochote kitakachotokea.Ongea na Takukuru wamchape uhujumi uchumi
Umechemsha boss huyo sio mwanafunzi ujue,hakuna sheria ya kuzuia kutongozana kazini,hao ni watu wazima aamue kumpa au kumnyimaAmrekodi aende Takukuru
Nitafanya hivi huyu mtoto bado mdogo sana anamuharibu kiakiliOngea na Takukuru wamchape uhujumi uchumi