mandingo ni jamaa mmoja alikuwa anapiga sana puli anatembea na sabuni na katoboa mifuko yake ya suruali.. akikuta demu ana tako basi yeye anamfuata nyuma huku anapiga puli
Mi simjuii namsikia tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ni nani? Nimesikia anatajwa tajwa sana.
Moja ya msanii alie mtaja ni Joh Makini kwenye ngoma ya Waya..
Naombeni wataalam wa mambo mnijuze sifa za huyu Mandingo wa ndingo
Ni nani hasa? Na kwanini jina lake linazidi kupaa sana?
so mademu wa kizungu wanawapenda sana awa jamaa
Asante sana mkuu nimekupata vilivyo.
Kwa hiyo watalii huwa wanaenda kutalii na kuenjoy na Mandinka? Wanatalii kiaje aje sasa?
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni jamaa mmoja mlemavu.
Ohoooo.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mandingo cha mtoto kwa Wesley Pipes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]JF bwana, sikujua maana ya pilau mpaka baada ya kusoma post hii.
Kama umewahi kucheki Roots ya Kunta Kinte....wale ndio Mandingo, Mandike, Mandinka..
MandikaMandingo linatokana na kabila moja linaitwa Mandinka pia unaweza kuwaita Mandinko, Manding, au Malinke, asili yake kutokea nchi ya Mali kwa wale mliosoma historia mtakumbuka ufalme wa Sundiata. Ni kabila linapatikana katika nchi za Afrika Magharibi kama Guinea na Gambia especially Gambia. Kabila ili pia linapatikana nchi za Sierra Leone, Mali, Liberia, Ivory Coast, Guinea Bissau, Senegal, Burkina Faso, Niger na Mauritania. Hawa watu wana historia ya kuwa wanaume wenye nguvu hasa nguvu za kiume. Kwa hiyo mwanaume akiwa na hali hiyo utasikia anaitwa Mandingo. Sasa kutokana na sifa hiyo ndiyo wenzetu wanawake wa wazungu wameifanya nchi hiyo kuwa nchi ya kitalii yaani sexual tourism. Uwa wanakwenda kupata huduma toka kwa kabila la Mandinka au Mandingo
Ni watu wenye nguvu ndiyo maana walipelekwa wengi utumwani wakati wa Trial Angle trade