waswahili tunasema KWA MOYO WANGU WOTE, Wenzetu wanasema FROM THE BOTTOM OF MY HEART. Maneno haya yana uhusiano wa kiasili? ktk kufikisha ujumbe nadhani yapo sawa
But all in all
I Wish you all the Best In 2011 'from the bottom of my heart' na 'kwa Moyo wangu wote'