Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
weka yako kwanza, then .....Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Dada wa Taifa Mange Kimambi kwa swala la vyeti tu yupo vizuri tena tu na vyeti vyake havina shaka yoyote.Ana Elimu ya hapa na pale
Kasoma UDSM bachelors' na MBA Dubai......
101%Una uhakika kasoma UDSM?
Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Source/ proof?101%
Alkua na blog "Bongolicious".....data na mapicha yote yalkua kule....mi pia ni alumnus mkuu...nilitambua zile pichaSource/ proof?
Hujaweka chanzo wala ushahidi.Alkua na blog "Bongolicious".....data na mapicha yote yalkua kule....mi pia ni alumnus mkuu...nilitambua zile picha
Mkuu ile website ipo offline otherwise ningekuonesha.....Hujaweka chanzo wala ushahidi.
Umesema tu.
Saying it so doesn't make it so!
Ungenionyesha nini? College diploma yake yenye letterhead ya UDSM au transcript yake yenye letterhead ya UDSM?Mkuu ile website ipo offline otherwise ningekuonesha.....