prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Take it easy mkuuHujui madhara ya mtu ku-edit original post yako.
Wenye mamlaka ya kuedit ppst yako ni mods na Admins tu na si vinginevyo.
Lingekuwa ni kosa lingine ningempotezea tu lakini si kosa la kunilisha maneno huyu namshikia bango mpaka atiwe adabu.
Ata magu amesomea chemistry lkn anafanya siasa mkuuAna masters ila ni mbobezi wa umbea na majungu ya hapa na pale!
Nina uhakika bado huelewi ni kwa nini JF ku-edit post ya mtu ni serious offense, kwa hakika huyajui madhara yake.Take it easy mkuu
nadhani huwezi kuedit isipokuwa mods tu.Nina uhakika bado huelewi ni kwa nini JF ku-edit post ya mtu ni serious offense, kwa hakika huyajui madhara yake.
Yap ni kweli kasoma UDSMUna uhakika kasoma UDSM?
PhD ya UmbeaWanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
[emoji115] [emoji115]nadhani huwezi kuedit isipokuwa mods tu.
Punguza ubishi usiokuwa na maana hapa nimeedit hii post yako.
Jf inanipa raha sana eti ##mbobeziwaumbea##Ana masters ila ni mbobezi wa umbea na majungu ya hapa na pale!
Kwani humfahamu? Mfate inboxWanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Ok, na chuo nafkiri kinamilikiwa na mpopo ila kiko dubaiNi Dubai si Lagos
Mange amesoma soma
In details alichosomea sikumbuki ila alishawahi kuelezea na amesomea nje
Hahahahhh asa nimekosea?hahaahha eti amesoma soma !dah !haya bwana
Yap ni kweli kasoma UDSM