Hivi Mange Kimambi yupo sawa?

Status
Not open for further replies.
Huyu dada naona kichaa kimezidi kupada baada ya kupigwa talaka. Yani siku hizi hasira zake zoooote kazihamishia kwa Zari. Yaaani anavomuandama Zari utasema yeye ndo aliporwa bwana. Anajitia yee ni dada ake wema ndo mana anafight na Zari for wema, lakini wema is busy doing her things nowadays. Mange kutwa kucha kumfukunyua Zaria, anamzalilisha sana sijui hata dada wa watu alimkoseaga nini. Huyu mange ni wa kumpuuza tuu. Ila ana kundi kubwa sana nyuma yake, huwa nashindwa kuelewa Mange ndo moumbavu au wale wafuasi wake anaowa manipulate atakavyo ndo wapumbavu. Yani this mama cant mind her business... Bi polar inamtafuna
 
Nimekuwa kwa ukaribu sana nikifutilia mijaadal mbali mbali inayoendelea sehemu mbalimbali. Na nimejikuta kwa mara ya kwanza nami najiunga insta ili sasa nikafaha yale yanayosemw ana mwanamke mmoja anayeitwa mangi. ukimsoma kwenye Bio yake anajiita ni mwanaharakati. Anyway hili ni jina jepesi ambalo kwa sasa kila mpuuzi anaweza jiita hivyo.

Ukimsoma huyu mwanamke utakutwa anaongozwa na chuki, woga na jazba. na watu wameamua kumtumia tu ili kuweza kufanikisha maelngo yao kwa namna moja au nyingine. Akili hana,busara na hekima hana. anaonekana hata malezi mema hakupata kwa namna anavyotumia maneno machafu yasiyofaa kwenye jamii. Wengi wanaomshabikiwa pia ni aina ya watu wenye msongo wa mawazo, wenye chuki binafsi, wenye woga ambao kw namna moja au nyingine wanapokuwa na jambo hawawezi kulisema hivyo wanamtafuta mtu mmoja awasemee.

Maneno anayoyaema mangi mtu yeyote anaweza kuyasema provided kuwa yupo nje ya nchi. Na data anazozipata ni kwa kuwa yeye ameshaaamua kuwa mropokaji basi watu wenye chuki na kisasi wanatumia nafasi hiyo kumpelekea details za mtu flan ambazo zaweza kwua kweli au si kweli. Utakuta mara nyingi anatoa shutuma nyingi sana ila ushahidi wake ni mwepesi sana. Mfano inawezekana sheikh wa mkoa si msafi.Lakini ushahidi wa kutoa picha za wanaosemekana kuwa ni watoto wake au wanaosemekana kuwa ni wake na wapenzi wake its not enough. Tuwekewe video au picha inayoonesha sheikh akifanya jambo hilo.

Kinyume na hapo ni rahisi kumzungumzia mtu ambaye hayupo insta au yeye hawezi jibishana nawe insta kwa kutumia ushahidi wa kipuuzi kama huo.hawa watu wanaotenda mabaya hatuwezi kuwaondoa kwa kutumia shahidi za hear-says. We need to have concrete evidence. Kuna watu wengi wanamchukia sheikh wa mkoa so wakati huu i wakati muafaka wa kumchafua pia. but kinyume na hapo hebu tuweke ushahidi uso na shaka juu ya maovu yake huyu sheikh ambaye anajihusisha na siasa kwa kuelemea chama kimoja.

Watanzania weng wamejikuta wakiwa karibu naye si kwa sababu ana akili au kweli ni mwanaharakati. Bali ni sababu wana msongo wa mawazo na chuki ambazo yeye husaidia kuwaonesha wapi pa kuzipeleka.CCM haiwezi kuondolewa madarakani kwa kupitia watu wapuuzi kama akina mangi. huyu hana tofaut na kibajaji msema hovyo au mropokaji. Watu wamekosa mtu wa kuwasemea matatizo yao halisi na ufumbuzi wake. Wamejipatia mwendawazimu mmoja asiye na heshima wakamsimamisha awe msemaji wao.
 
Nimesoma intro kwanza nimekuja kuunga mkono hoja.
Halafu narudi kumalizia uzi wote..
Kwa ufupi misukule yote inayomuunga mkono huyu dada ipimwe akili..
 
naomba uondoe neno Mangi kwenye post yako
 
Mimi naona huyu dada hana tatizo maana kwa wanaoangalia kwa jicho kali utaona kabisa huyu sio mzima wa akili..
Na chizi sio lazima aokote makopo maana kuna personality disorders nyingi tu na watu wanazo na hawaikoti makopo mf nabii tito..

Sasa tatizo lipo kwa watu wanaomfwata chizi na kumuamini kwa kila kitu..hapa ndio tatizo linapoanzia..
Hivi mtu na akili zako unakuwaje manipulated na chizi ambaye huhitaji MMED ya psychiatric kujua kama sio mzima yule..

Nasikitika sana ninavyoona watu wakiamini kila upuuzi anaoutoa.
 
Yani hili andiko lote ni km vile unasema Da mange please hide my ID.Sasa kama unajua hilo si utulie sheikh anyonyolewe bila maji moto?
 
Huyo ndio kiongozi wa Chadema
 
Mimi naona ungewajumuisha mpaka wanao ingia account yake ya instagram. Na wewe najuwa utakuwemo kati ya hao machizi!
 
Wewe ndio una njaa! full dhiki.
 

Wewe ndio shekhe nini?
 
Ungemsaidia shehe wako kutoa ufafanuzi kuhusu hizo shutuma za ushoga ungefanya jambo la maana sana, kuliko kuendelea kujibiza na mange
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…