Hivi Mansuli atatoka lini kimziki?

Hivi Mansuli atatoka lini kimziki?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
196675978.jpg

Hivi tatizo la huyu jamaa ni nini kwenye mziki?huwezi ukasema kuna wimbo wake hata moja ume-hit,aisee mshikaji mi naona kama hana nyota kabisa.

Wa siku nyingi sana ila sijui kama anakubalika kivile.
Mnaomfahamu huyu jamaa tupeni historia yake,anafanya nini kwa sasa je mziki anafanya kama hobby au kazi?
 
Hana mganga wa kienyeji ndo maana hatoki
 
Mhhhhhhhhhhh.....
Mindio nimjua hapa jf
 
Dogo alipiga islamic seminary pale magomeni...o' level.sijui kilimsibu nn akaingia ktk music .....

Future is unpredictable for unprepared ones....
 
196675978.jpg

Hivi tatizo la huyu jamaa ni nini kwenye mziki?huwezi ukasema kuna wimbo wake hata moja ume-hit,aisee mshikaji mi naona kama hana nyota kabisa.

Wa siku nyingi sana ila sijui kama anakubalika kivile.
Mnaomfahamu huyu jamaa tupeni historia yake,anafanya nini kwa sasa je mziki anafanya kama hobby au kazi?

Kwani wewe kufuatilia habari za wanaume wenzio unafanya kama hobi au kazi?
 
Huyu hana kismati kitambo sana ila wala ahit hammy b kambeba atleast asikike wapiii. Kweli muziki lazima uwe na nyota ya mchezo
 
Dogo alipiga islamic seminary pale magomeni...o' level.sijui kilimsibu nn akaingia ktk music .....

Future is unpredictable for unprepared ones....
ndo hivo ila labda huko school aliona mambo si mazuri
 
Huyu hana kismati kitambo sana ila wala ahit hammy b kambeba atleast asikike wapiii. Kweli muziki lazima uwe na nyota ya mchezo
huyu jamaa katoa video za kutosha tu ila hakusikika,dah mziki ukikataa ndo hivo
 
namkubali sana hasa ile nyimbo aliyofanya featuring na nako 2 nako 'we ndo mchizi wangu' rmx
 
Back
Top Bottom